10/03/2021

Nilikua nimelalia kitanda kama kile nilichokuwa nimelalia kwa ndugu yangu Thuita kwenye ndoto ya 09/03/2021.Lakini kwa hii ndoto  kilikuwa kimewekwa mahali juu katika room moja iliokuwa kumbwa nikama hiyo room iko hapo Naivas supermarket Nyeri,

Pale chini nikaona mwanaume na radio na  akaweka kanda iliokuwa mafundisho ya kiisilamu nanikama walikua wanashurutisha watu wayasikie yale  mafundisho

Lakini mimi nikama walikuwa wakiniogopa juwalikuwa wakiniangalia tu nikiwa juu ya kitanda, Na walikuwa wanataka majibishano na wakirsto

Kisha  nikajiona tukiwa mahali tulikuwa tunajenga Kanisa,tulikuwa tunalinjenga na mbao, Ntulipokuwa tuna jenga lile Kanisa nikaona  halijawekwa laini vizuri .

Mimi nikajiuliza hili ni Kanisa la Mungu limejengwa vibaya hivi ,nika sema ni lazima linjegwe likiwa laini

Basi tukalijenga na tukaliweka laini

Ndani ya ile Kanisa ilikuwa ni hall na kando yake ni rooms upande wa right na upande wa left

Alafu nilijikuta mahali pengine na ni kama ni nje ya lile Kanisa,

Kisha niliona kama kwamba  kando  ya hilo Kanisa kulikuwa na shule ya secondari

Alafu nikaona nikimshauri  msichana wa hilo shule ya secondari mwenye alikua amejifunga kitambaa kishwa kama vile waisilamu huwa wana jifunga. Chenye nilimshauri kilimfulahisha alafu rafiki yake akataka kujua chenye nimemshauri lakini hutukumwabia badala yake nilimkalisha chini naye nikamshauri kivingine alafu akaondoka

……..Alafu nikajisikia na kuamka,nilipoamka nilizikia hofu na nikatoa machozi